sw_tn/jhn/14/intro.md

17 lines
655 B
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Yohana 14 Maelezo ya Jumla
### Dhana maalum katika sura hii
#### "Nyumba ya Baba yangu"
Hii sio kurejelea hekalu. Lakini, ni kurejelea makao ya Mungu mbinguni. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/heaven)
#### Mfariji
Hili ni jina lingine la Roho Mtakatifu, pamoja na "Roho wa Kweli." Alikuwa tayari ulimwenguni, lakini angekuja kwa njia maalum, kukaa kati ya Wakristo, milele. Yesu na Roho Mtakatifu wote ni Mungu; kwa sababu ya ukweli huu, mtu anaweza kusema kwamba Yesu atakaa katika Wakristo baada ya kifo chake. (See: rc://en/tw/dict/bible/kt/holyspirit)
## Links:
* __[John 14:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../13/intro.md) | [>>](../15/intro.md)__