sw_tn/jhn/13/31.md

12 lines
420 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# sasa mwana wa Mtu ametukuzwa na Mungu ametukuzwa ndani yake
Unaweza kutafasiri hii hivi, "Sasa watu wataona jinsi ambavyo mwana wa Mtu atapokea heshima na jinsi ambavyo Mungu atapokea heshimu kupitia yale anayoyafanya mwana wa Mtu."
# watoto wadogo
Yesu anatumia neno watoto wadogo kumaanisha kwamba aliwapenda wanafunzi wake kama watoto wake.
# kama nilivyosema kwa Wayahudi
Hii inamaanisha viongozi wa Kiyahudi