# sasa mwana wa Mtu ametukuzwa na Mungu ametukuzwa ndani yake Unaweza kutafasiri hii hivi, "Sasa watu wataona jinsi ambavyo mwana wa Mtu atapokea heshima na jinsi ambavyo Mungu atapokea heshimu kupitia yale anayoyafanya mwana wa Mtu." # watoto wadogo Yesu anatumia neno watoto wadogo kumaanisha kwamba aliwapenda wanafunzi wake kama watoto wake. # kama nilivyosema kwa Wayahudi Hii inamaanisha viongozi wa Kiyahudi