sw_tn/jhn/10/14.md

20 lines
498 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Mimi ni mchungaji mwema
Mini nafanana na mchungaji mwema
# Baba ananijua mimi, nami namjua Baba
Mungu Mwana na Mungu Baba (na Mungu Roho Mtakatifu) wanafahamiana na wote ni nafsi ya Mungu.
# Baba
Hiki ni cheo maalumu cha Mungu
# Zizi
Kundi la kondoo linalomilikiwa na mchungaji. Neno hili linatokana na neno "Zizi" mahali ambapo kondoo hukaa.
# Nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo
Hii ni njia ya upole ya Yesu kusema kwamba atakufa ilikuwalinda kondoo. "Ninakufa kwa ajili ya kondoo."