# Mimi ni mchungaji mwema Mini nafanana na mchungaji mwema # Baba ananijua mimi, nami namjua Baba Mungu Mwana na Mungu Baba (na Mungu Roho Mtakatifu) wanafahamiana na wote ni nafsi ya Mungu. # Baba Hiki ni cheo maalumu cha Mungu # Zizi Kundi la kondoo linalomilikiwa na mchungaji. Neno hili linatokana na neno "Zizi" mahali ambapo kondoo hukaa. # Nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo Hii ni njia ya upole ya Yesu kusema kwamba atakufa ilikuwalinda kondoo. "Ninakufa kwa ajili ya kondoo."