sw_tn/jhn/08/28.md

24 lines
455 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Utakapoinuliwa juu
Utakapoinuliwa. Hili halijatokea bado.
# Mwana wa Mtu.... Baba
Hivi ni vyeo muhimu vinavyoelezea uhusiano wa Yesu na Mungu.
# MIMI NDIYE...BABA alinifundisha
kama Mungu Mwana, anavyomjua Mungu Baba tofauti na mwingine yeyote, na divyo ilivyo wakati wote
# Kama Baba alivyonifundisha
katika njia ile ile kwamba Baba alinifundisha
# Yeye aliyenituma
Neno linamaanisa Baba
# Kama Yesu alivyosema
wakati Yesu alipokuwa akisema