# Utakapoinuliwa juu Utakapoinuliwa. Hili halijatokea bado. # Mwana wa Mtu.... Baba Hivi ni vyeo muhimu vinavyoelezea uhusiano wa Yesu na Mungu. # MIMI NDIYE...BABA alinifundisha kama Mungu Mwana, anavyomjua Mungu Baba tofauti na mwingine yeyote, na divyo ilivyo wakati wote # Kama Baba alivyonifundisha katika njia ile ile kwamba Baba alinifundisha # Yeye aliyenituma Neno linamaanisa Baba # Kama Yesu alivyosema wakati Yesu alipokuwa akisema