sw_tn/jhn/07/50.md

16 lines
415 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sheria yetu humhukumu mtu
Nikodemo alimaanisha kuwa wale wanaoifuata sheria hawamhukumu mtu kabla ya kumhoji.
# sheria yetu humhukumu mtu... sivyo?
"Sheria yetu ya Kiyahudi haituruhusu kumhukumu mtu
# Na wewe pia unatokea Galilaya?
Inawezekana pia na wewe ni mmoja wa watu wa chini kutoka Galilaya
# Hakuna Nabii anayetoka Galilaya
Hii pengine ilirejea katika imani kwamba Masihi hawezi kuzaliwa Galilaya