# Sheria yetu humhukumu mtu Nikodemo alimaanisha kuwa wale wanaoifuata sheria hawamhukumu mtu kabla ya kumhoji. # sheria yetu humhukumu mtu... sivyo? "Sheria yetu ya Kiyahudi haituruhusu kumhukumu mtu # Na wewe pia unatokea Galilaya? Inawezekana pia na wewe ni mmoja wa watu wa chini kutoka Galilaya # Hakuna Nabii anayetoka Galilaya Hii pengine ilirejea katika imani kwamba Masihi hawezi kuzaliwa Galilaya