sw_tn/jhn/07/47.md

16 lines
290 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Ndipo Mafarisayo walipowajibu
Hapa "wao" inamaanisha walinzi wa hekalu.
# Kupotoshwa
Kudanganywa
# Kuna yeyote kati ya watawala aliyemwamini, au yeyote kati ya Mafarisayo?
"Si watawala wala Mafarisayo waliomwamini."
# Sheria
Hii ilirejea sheria ya Mafarisayo na si sheria ya Musa.