# Ndipo Mafarisayo walipowajibu Hapa "wao" inamaanisha walinzi wa hekalu. # Kupotoshwa Kudanganywa # Kuna yeyote kati ya watawala aliyemwamini, au yeyote kati ya Mafarisayo? "Si watawala wala Mafarisayo waliomwamini." # Sheria Hii ilirejea sheria ya Mafarisayo na si sheria ya Musa.