sw_tn/jhn/06/52.md

12 lines
310 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kiunganishi cha maneno
Baadhi ya Wayahudi waliopo wanaanza kubishana wenyewe na Yesu anajibu kwa swali lao.
# Amini, amini
tafsiri hili kama ulivyo tafsiri maneno mengine ya namma hii.
# kula mwili wa Mwana Adamu na kunywa damu yake
Kumpokea Mwana wa Adamukwa imani ni sawa kupokea chakula na kinywaji.