# Kiunganishi cha maneno Baadhi ya Wayahudi waliopo wanaanza kubishana wenyewe na Yesu anajibu kwa swali lao. # Amini, amini tafsiri hili kama ulivyo tafsiri maneno mengine ya namma hii. # kula mwili wa Mwana Adamu na kunywa damu yake Kumpokea Mwana wa Adamukwa imani ni sawa kupokea chakula na kinywaji.