sw_tn/jhn/06/43.md

20 lines
514 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kiunganishi cha maneno:
Yesu anaendela kuongea na mkutano na sasa anaongea na viongozi wa Wayahudi.
# kuvuta
hii inaweza kufasiriwa 1) "kuvuta" 2)"kuvutia"
# imeandikwa katika manabii
"Manabii waliandika"
# Kila aliyekwisha sikia na kujifunza kwa Baba huja kwangu
Wayahudi walifikiri Yesu alikuwa mwana wa Yusufu" lakini ni Mwana wa Mungu kwa sababu Baba yake ni Mungu Baba , sio Yusufu. Wale wote ambao kweli wanajifunza kwa Mungu Baba wanaamini katika Yesu, Mungu Mwana.
# Baba
Cheo muhimu kwa Mungu.