# kiunganishi cha maneno: Yesu anaendela kuongea na mkutano na sasa anaongea na viongozi wa Wayahudi. # kuvuta hii inaweza kufasiriwa 1) "kuvuta" 2)"kuvutia" # imeandikwa katika manabii "Manabii waliandika" # Kila aliyekwisha sikia na kujifunza kwa Baba huja kwangu Wayahudi walifikiri Yesu alikuwa mwana wa Yusufu" lakini ni Mwana wa Mungu kwa sababu Baba yake ni Mungu Baba , sio Yusufu. Wale wote ambao kweli wanajifunza kwa Mungu Baba wanaamini katika Yesu, Mungu Mwana. # Baba Cheo muhimu kwa Mungu.