sw_tn/jhn/05/26.md

16 lines
422 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kama vile Baba alivyo na uzima ndani yake, vivyo hivyo amempa Mwana ili awe na uzima ndani yake
Neno "kwa" linaonyesha ulinganifu. Mwana wa Mungu ana uzima sawa kama aliona nao Baba.
# Baba...Mwana wa Adamu
Hivi ni vyeo muhimu vinavyoelezea ushirika kati ya Mungu na Yesu.
# uzima
hii ina maanisha uzima wa kiroho
# Baba amempa Mwana Mwana uwezo kufanya hukumu
Mwana wa Mungu ana mamlaka ya Mungu Baba kuhukumu.