# Kama vile Baba alivyo na uzima ndani yake, vivyo hivyo amempa Mwana ili awe na uzima ndani yake Neno "kwa" linaonyesha ulinganifu. Mwana wa Mungu ana uzima sawa kama aliona nao Baba. # Baba...Mwana wa Adamu Hivi ni vyeo muhimu vinavyoelezea ushirika kati ya Mungu na Yesu. # uzima hii ina maanisha uzima wa kiroho # Baba amempa Mwana Mwana uwezo kufanya hukumu Mwana wa Mungu ana mamlaka ya Mungu Baba kuhukumu.