sw_tn/jhn/05/21.md

20 lines
714 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kama vile Baba afufuavyo wafu na kuwapa uzima...Mwana pia humpa uzima kwa yeyote apendaye
Neno "kwa" ni linganifu Mwan wa Mungu (Mungu Mwana) anatoa maisha kama Mungu Baba anavyotoa uzima.
# Baba...Mwana
Hivi ni vyeo ambavyo vinaelezea uhusiano kati ya Mungu na Yesu.
# uzima
ina maanisha "uzima wa kiroho."
# Kwa kuwa Mwana Baba hamhukumu mtu yeyote, bali amempa Mwana uwezo wote wa kuhukumu.
Neno "kwa" linaonesha ulinganifu. Mwana wa Mungu ndiye anayehukumu kwa niaba ya Mungu Baba.
# mheshimu Mwana kama ...Baba. Yeye amuheshimu Mwana hamheshimu Baba
Mungu Mwana ni lazima aheshimiwe na kuabudiwa kama vile ambavyo Mungu Baba. Kama tukishindwa kumuheshimu, pia tunashindwa kumuheshimu Mungu Baba.