# Kama vile Baba afufuavyo wafu na kuwapa uzima...Mwana pia humpa uzima kwa yeyote apendaye Neno "kwa" ni linganifu Mwan wa Mungu (Mungu Mwana) anatoa maisha kama Mungu Baba anavyotoa uzima. # Baba...Mwana Hivi ni vyeo ambavyo vinaelezea uhusiano kati ya Mungu na Yesu. # uzima ina maanisha "uzima wa kiroho." # Kwa kuwa Mwana Baba hamhukumu mtu yeyote, bali amempa Mwana uwezo wote wa kuhukumu. Neno "kwa" linaonesha ulinganifu. Mwana wa Mungu ndiye anayehukumu kwa niaba ya Mungu Baba. # mheshimu Mwana kama ...Baba. Yeye amuheshimu Mwana hamheshimu Baba Mungu Mwana ni lazima aheshimiwe na kuabudiwa kama vile ambavyo Mungu Baba. Kama tukishindwa kumuheshimu, pia tunashindwa kumuheshimu Mungu Baba.