sw_tn/jhn/05/07.md

24 lines
576 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Bwana, sina
hapa neno "Bwana" ni namna ya kumkabili mtu wa upole. "Bwana, hakuna mtu"
# wakati maji yanapotibuliwa
Hii linaweza kufasiriwa katika muundo tendaji. "wakati malaika hutibua maji"
# ndani ya dimbwi
hili lilikuwa ni shimo katika chini ambalo watu walijaza maji. wakati mwingine walilizungushia kwa vigae na mawe.
# mwingine huenda mbele yangu
watu walishuka kwa hatua kadhaa kuingia ndani ya maji. "mtu mwingine mara zote huingia ndani ya maji kabla yangu.
# Inuka
"simama!"
# chukua kitanda chako na uende
"Chukua godor lako la kulalia, na utembee!"