# Bwana, sina hapa neno "Bwana" ni namna ya kumkabili mtu wa upole. "Bwana, hakuna mtu" # wakati maji yanapotibuliwa Hii linaweza kufasiriwa katika muundo tendaji. "wakati malaika hutibua maji" # ndani ya dimbwi hili lilikuwa ni shimo katika chini ambalo watu walijaza maji. wakati mwingine walilizungushia kwa vigae na mawe. # mwingine huenda mbele yangu watu walishuka kwa hatua kadhaa kuingia ndani ya maji. "mtu mwingine mara zote huingia ndani ya maji kabla yangu. # Inuka "simama!" # chukua kitanda chako na uende "Chukua godor lako la kulalia, na utembee!"