sw_tn/jhn/04/43.md

16 lines
578 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo kwa Ujumla:
hii ni sehemu ya simulizi ambayo Yesu anatelemka kwenda Galilaya na anamponya kijana.Mstari 44 inatupa habari kuhusu kitu ambacho Yesu alikuwa amekisema mwanzoni.
# Kwa kuwa Yesu mwenyewe alitangaza
yeye mwenyewe limeongezwa kwa kutia msisitizo kwamba Yesu alikuwa ametangaza" au alisema haya.. Unaweza kuliweka katika lugha kwa jinsi ya kutia msisitizo kwa mtu.
# nabii hana heshima katika nchi yake
Watu haonyeshi heshima au kumuhesimu nabii wa nchi ya kwao" au "nabii haheshimiwi na watu wa jamii yake."
# kwenye sikukuu
sikukuu hapa ni Pasaka.