# Maelezo kwa Ujumla: hii ni sehemu ya simulizi ambayo Yesu anatelemka kwenda Galilaya na anamponya kijana.Mstari 44 inatupa habari kuhusu kitu ambacho Yesu alikuwa amekisema mwanzoni. # Kwa kuwa Yesu mwenyewe alitangaza yeye mwenyewe limeongezwa kwa kutia msisitizo kwamba Yesu alikuwa ametangaza" au alisema haya.. Unaweza kuliweka katika lugha kwa jinsi ya kutia msisitizo kwa mtu. # nabii hana heshima katika nchi yake Watu haonyeshi heshima au kumuhesimu nabii wa nchi ya kwao" au "nabii haheshimiwi na watu wa jamii yake." # kwenye sikukuu sikukuu hapa ni Pasaka.