sw_tn/jhn/04/31.md

16 lines
515 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Wakati wa mchana
"Wakati mwananamke alipokuwa akienda mjini"
# Wanafunzi walikuwa wakimuuliza
"wanafunzi walikuwa wakimwambia Yesu" au wanafunzi walikuwa wakimtia moyo"
# Ninacho chakula ambacho hamkijui
Hapa Yesu haongelei "chakula" bali anawaandaa wanafunzi wake kwa ajili ya fundisho la kiroho.
# Hakuna mtu ambaye amemlea kitu chochote
Wanafunzi wanafikiri kuwa anaongelea chakula cha kawaida.Wakaanza kuulizana wakitegemea mwitikio wa hapana. Hakika hakuna mtu aliye mletea chakula tulipokuwa mjini!"