# Wakati wa mchana "Wakati mwananamke alipokuwa akienda mjini" # Wanafunzi walikuwa wakimuuliza "wanafunzi walikuwa wakimwambia Yesu" au wanafunzi walikuwa wakimtia moyo" # Ninacho chakula ambacho hamkijui Hapa Yesu haongelei "chakula" bali anawaandaa wanafunzi wake kwa ajili ya fundisho la kiroho. # Hakuna mtu ambaye amemlea kitu chochote Wanafunzi wanafikiri kuwa anaongelea chakula cha kawaida.Wakaanza kuulizana wakitegemea mwitikio wa hapana. Hakika hakuna mtu aliye mletea chakula tulipokuwa mjini!"