sw_tn/jhn/01/49.md

16 lines
520 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Rabbi, wewe ni Mwana wa Mungu! Wewe ni mfalme wa Israeli!
Nathanaeli anasema Yesu ni "Mwana wa Mungu" kwa sababu Yesu amjua Nathanaeli pasipo kukutana naye awali.
# Mwana wa Mungu
Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu.
# Kwa sababu nilikuambia.. je unaamini?
Hili jibu linaonekana katika jinsi ya swali kuonesha msisitizo. unaweza kuifasili kama sentesi. AT: "Unaamini kwa sababu nilisema, nilikuona chini ya mtini'!
# Amini, amini
Tafsiri hili jinsi ambavyo lugha yako inavyosisitiza kuwa kile kinachofuata ni kweli.