# Rabbi, wewe ni Mwana wa Mungu! Wewe ni mfalme wa Israeli! Nathanaeli anasema Yesu ni "Mwana wa Mungu" kwa sababu Yesu amjua Nathanaeli pasipo kukutana naye awali. # Mwana wa Mungu Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu. # Kwa sababu nilikuambia.. je unaamini? Hili jibu linaonekana katika jinsi ya swali kuonesha msisitizo. unaweza kuifasili kama sentesi. AT: "Unaamini kwa sababu nilisema, nilikuona chini ya mtini'! # Amini, amini Tafsiri hili jinsi ambavyo lugha yako inavyosisitiza kuwa kile kinachofuata ni kweli.