sw_tn/jhn/01/29.md

12 lines
366 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Mwanakondoo wa Mungu
Huuu ni mfano ambao unawakilisha Utimilifu wa dhabihu kamilifu ya Mungu. Yesu anaitwa "Mwanakondoo wa Mungu" kwa sababu alikuwa dhabihu kwa ajili ya dhambi za watu.
# dunia
neno "dunia" ni neno ambalo linalojumuisha watu wote duniani.
# ajaye nyuma yangu, ni mkuu, kwa maana amekuwapo kabala yangu
Tafsili hili kama ulitafsiri 1:14:1:15