# Mwanakondoo wa Mungu Huuu ni mfano ambao unawakilisha Utimilifu wa dhabihu kamilifu ya Mungu. Yesu anaitwa "Mwanakondoo wa Mungu" kwa sababu alikuwa dhabihu kwa ajili ya dhambi za watu. # dunia neno "dunia" ni neno ambalo linalojumuisha watu wote duniani. # ajaye nyuma yangu, ni mkuu, kwa maana amekuwapo kabala yangu Tafsili hili kama ulitafsiri 1:14:1:15