sw_tn/jhn/01/19.md

12 lines
515 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Wayahudi walitumwa kwake kutoka Yerusalemu
Hapa mwandishi anatumia mfano. Neno "Wayahudi" limetumika kwa kuwakilisha "Viongozi wa Kiyahudi." AT:" Viongozi wa Kiyahudi waliwatuma kwake kutoka Yerusalemu.
# Yeye alisema wazi, wala hakukana
Neno la pili linaeleza maneno hasi ambayo neno la kwanza linachokisema katika mtazamo chanya. Hii inasisitiza kuwa Yohana alikuwa akisema kweil.AT: "Aliwambia ukweli bila woga".
# U nani?
AT: "U nani ni kama sio Masihi"? au " Nini kinachoendelea?" au " Unafanya nini."