# Wayahudi walitumwa kwake kutoka Yerusalemu Hapa mwandishi anatumia mfano. Neno "Wayahudi" limetumika kwa kuwakilisha "Viongozi wa Kiyahudi." AT:" Viongozi wa Kiyahudi waliwatuma kwake kutoka Yerusalemu. # Yeye alisema wazi, wala hakukana Neno la pili linaeleza maneno hasi ambayo neno la kwanza linachokisema katika mtazamo chanya. Hii inasisitiza kuwa Yohana alikuwa akisema kweil.AT: "Aliwambia ukweli bila woga". # U nani? AT: "U nani ni kama sio Masihi"? au " Nini kinachoendelea?" au " Unafanya nini."