sw_tn/jas/04/15.md

16 lines
409 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Badala yake mngesema
Badala yake, mtazamo wenu uwe?"
# sisi tutaishi
Neno "sisi" halimaanishi Yakobo au hadhira yake lakini ni mfano wa namna ambavyo hadhira ya Yakobo inatakiwa iishi.
# tutafanya hiki au kile.
"kufanya kile ambacho tumepanga kufanya"
# kwake yeye ajuaye kutenda mema lakini hayatendi, kwake huyo ni dhambi.
Yeyote anayeshindwa kufanya jambo ambalo anapaswa kufanya anatenda dhambi.