# Badala yake mngesema Badala yake, mtazamo wenu uwe?" # sisi tutaishi Neno "sisi" halimaanishi Yakobo au hadhira yake lakini ni mfano wa namna ambavyo hadhira ya Yakobo inatakiwa iishi. # tutafanya hiki au kile. "kufanya kile ambacho tumepanga kufanya" # kwake yeye ajuaye kutenda mema lakini hayatendi, kwake huyo ni dhambi. Yeyote anayeshindwa kufanya jambo ambalo anapaswa kufanya anatenda dhambi.