sw_tn/jas/02/10.md

24 lines
563 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa kuwa yeyote atiiye
"Yeyoye anayetii"
# bado akajikwaa ... sheria yote
Kujikwaa ni kuanguka chini wakati mtu anatembea. kutotii sheria ni sawa na kujikwaa wakati wa kutembea.
# katika nukta moja
kwa sababu ya kutotii kwa sheria moja tuu
# Kwa kuwa Mungu aliyesema
Hii inamuelezea Mungu aliyempa sheria Musa.
# usifanye
"kufanya" ni kuchukua hatua
# Kama ninyi .... lakini una ... ume
"ninyi" inamaanisha "kati yenu" Japokuwa Yakobo aliwaandikia waamini wengi wa Kiyahudi kwenye sehemu hii ametumia umoja kama vile alikuwa amzungumzia mtu mmoja.