# Kwa kuwa yeyote atiiye "Yeyoye anayetii" # bado akajikwaa ... sheria yote Kujikwaa ni kuanguka chini wakati mtu anatembea. kutotii sheria ni sawa na kujikwaa wakati wa kutembea. # katika nukta moja kwa sababu ya kutotii kwa sheria moja tuu # Kwa kuwa Mungu aliyesema Hii inamuelezea Mungu aliyempa sheria Musa. # usifanye "kufanya" ni kuchukua hatua # Kama ninyi .... lakini una ... ume "ninyi" inamaanisha "kati yenu" Japokuwa Yakobo aliwaandikia waamini wengi wa Kiyahudi kwenye sehemu hii ametumia umoja kama vile alikuwa amzungumzia mtu mmoja.