sw_tn/isa/36/01.md

40 lines
804 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mwaka wa kumi na nne
"mwaka wa 14"
# Mfalme Hezekia
Hezekia alikuwa mfalme wa Yuda
# Senakeribu
Hili ni jina la mfalme wa Ashuru.
# Senakeribu ... alishambulia miji yote iliyoimarishwa
Jeshi la Senakeribu lilivamia miji. "Senekeribu na jeshi lake ... walivamia miji yote iliyoimarishwa"
# kamanda mkuu
Baadhi ya tafsiri za Biblia zinatafsiri kuwa hii ni ""Rabshake". Hili ni neno la Ashuru kwa yule mwenye nafasi ya juu kabisa ya viongozi wa kijeshi Ashuru.
# Lakishi
Huu ni mji kusini magharibi mwa Yerusalemu.
# mfereji wa dimbwi la juu katika barabara ya kuelekea shamba la dobi
"ambapo maji huingia katika dimbwi la juu"
# Hilkia ... Eliakimu
Haya ni majina ya wanamume.
# Shebna
Hili ni jina la msimaizi wa kasri ya mfalme Yerusalemu
# Asafu ... Yoa
Haya ni majina ya wanamume.