# mwaka wa kumi na nne "mwaka wa 14" # Mfalme Hezekia Hezekia alikuwa mfalme wa Yuda # Senakeribu Hili ni jina la mfalme wa Ashuru. # Senakeribu ... alishambulia miji yote iliyoimarishwa Jeshi la Senakeribu lilivamia miji. "Senekeribu na jeshi lake ... walivamia miji yote iliyoimarishwa" # kamanda mkuu Baadhi ya tafsiri za Biblia zinatafsiri kuwa hii ni ""Rabshake". Hili ni neno la Ashuru kwa yule mwenye nafasi ya juu kabisa ya viongozi wa kijeshi Ashuru. # Lakishi Huu ni mji kusini magharibi mwa Yerusalemu. # mfereji wa dimbwi la juu katika barabara ya kuelekea shamba la dobi "ambapo maji huingia katika dimbwi la juu" # Hilkia ... Eliakimu Haya ni majina ya wanamume. # Shebna Hili ni jina la msimaizi wa kasri ya mfalme Yerusalemu # Asafu ... Yoa Haya ni majina ya wanamume.