sw_tn/heb/10/05.md

24 lines
476 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Maneno ya Kristo alipokuwa duniani yalikuwa yamesemwa katika nukuu hii kutoka Zaburi ya Daudi.
# ambayo ulitamani
"Wewe" hapa ni nafsi ya umoja na inamaanisha Mungu.
# mliandaa
"kufanya tayari"
# kisha nilisema
"Nilisema" inamaanisha Kristo
# kama ilivyoandikwa katika gombo kuhusu mimi
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: " kama manabii walivyoandika katika gombo kuhusu mimi"
# gombo
Hii inamaanisha maandiko au maandiko matakatifu.