# Maelezo ya Jumla: Maneno ya Kristo alipokuwa duniani yalikuwa yamesemwa katika nukuu hii kutoka Zaburi ya Daudi. # ambayo ulitamani "Wewe" hapa ni nafsi ya umoja na inamaanisha Mungu. # mliandaa "kufanya tayari" # kisha nilisema "Nilisema" inamaanisha Kristo # kama ilivyoandikwa katika gombo kuhusu mimi Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: " kama manabii walivyoandika katika gombo kuhusu mimi" # gombo Hii inamaanisha maandiko au maandiko matakatifu.