sw_tn/heb/06/11.md

24 lines
550 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# tunatamani sana
Ingawa mwandishi anatumia wingi lakini anamaanisha yeye mwenyewe.
# bidii
uangalifu, kazi ngumu
# mpaka mwisho
AT: "mpaka mwisho wa maisha yako"
# kwa ajili ya uhakika wa ujasiri
"ili kuwa na uhakika timilifu kuwa mtapokea kile ambacho Mungu amewaahidi ninyi"
# waigaji
"muigaji" ni mtu ambaye ana nakili tabia ya mtu mwingine.
# kuzirithi ahadi
kupokea kile ambacho Mungu alichowaahidi waumini kinaongelewa kana kwamba ilikuwa wanarithi kitu na utajiri kutoka kwa mwanafamilia. AT: " pokea kileambacho Mungu amewaahidi"