# tunatamani sana Ingawa mwandishi anatumia wingi lakini anamaanisha yeye mwenyewe. # bidii uangalifu, kazi ngumu # mpaka mwisho AT: "mpaka mwisho wa maisha yako" # kwa ajili ya uhakika wa ujasiri "ili kuwa na uhakika timilifu kuwa mtapokea kile ambacho Mungu amewaahidi ninyi" # waigaji "muigaji" ni mtu ambaye ana nakili tabia ya mtu mwingine. # kuzirithi ahadi kupokea kile ambacho Mungu alichowaahidi waumini kinaongelewa kana kwamba ilikuwa wanarithi kitu na utajiri kutoka kwa mwanafamilia. AT: " pokea kileambacho Mungu amewaahidi"