sw_tn/heb/03/14.md

32 lines
839 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Hii inaendelea kutoka Zaburi ile ile ambayo pia ilinukuliwa katika 3:7.
# Kwa sababu tumekuwa
"Tumekuwa" hapa inamaanisha wote, mwandishi na wasomaji,
# kama tutaendelea kushikilia ujasiri wetu katika yeye
"kama tukiendelea kutumaini katika yeye kwa ujasiri"
# kutoka mwanzo
"tangu mwanzo tulipoanza kuamini katika yeye"
# hadi mwisho
Hii ni namna ya kusema kwa upole ikimaanisha mtu anapo kufa.AT: "hadi tunakufa"
# imesemwa
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "mwandishi aliandika"
# Leo, ukisikia
Amri ya Mungu kwa Waisraeli zinaongelewa kana kwamba aliwapa katika hali ya kusikia. AT: "kama utasikia Mungu anaongea." Tazama kama ulivyo tafsiri 3:7.
# kama katika kuasi
"Uasi" hapa unaweza kusemwa kama kitenzi. AT: "kama vile mababa zako walivyo muasi Mungu." Tanzama ulivyo tafsiri 3:7.