# Maelezo ya Jumla: Hii inaendelea kutoka Zaburi ile ile ambayo pia ilinukuliwa katika 3:7. # Kwa sababu tumekuwa "Tumekuwa" hapa inamaanisha wote, mwandishi na wasomaji, # kama tutaendelea kushikilia ujasiri wetu katika yeye "kama tukiendelea kutumaini katika yeye kwa ujasiri" # kutoka mwanzo "tangu mwanzo tulipoanza kuamini katika yeye" # hadi mwisho Hii ni namna ya kusema kwa upole ikimaanisha mtu anapo kufa.AT: "hadi tunakufa" # imesemwa Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "mwandishi aliandika" # Leo, ukisikia Amri ya Mungu kwa Waisraeli zinaongelewa kana kwamba aliwapa katika hali ya kusikia. AT: "kama utasikia Mungu anaongea." Tazama kama ulivyo tafsiri 3:7. # kama katika kuasi "Uasi" hapa unaweza kusemwa kama kitenzi. AT: "kama vile mababa zako walivyo muasi Mungu." Tanzama ulivyo tafsiri 3:7.