sw_tn/heb/02/16.md

24 lines
611 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# mbegu ya Ibrahimu
Wana wa Ibrahimu wanaongelewa kana kwamba walikuwa mbegu yake. AT: "wana wa Ibrahimu"
# ilikuwa ni muhimu kwake
"ilikuwa ni muhimu kwa Yesu"
# kama ndugu zake
Neno "ndugu" hapa linamaanisha watu kwa ujumla. AT: "kama wanadamu"
# ili alete msamaha wa dhambi kwa watu
Kifo cha Yesu msalabani kinamaanisha kwamba Mungu anaweza kusamehe dhambi. AT: "ili kwamba afanye uwezekano wa Mungu kusamehe dhambi za watu."
# alijaribiwa
Hii inaweza kusema katika mfumo tendaji. AT: " Shetani akamjaribu"
# wanaojaribiwa
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "ambao shetani anawajaribu"