# mbegu ya Ibrahimu Wana wa Ibrahimu wanaongelewa kana kwamba walikuwa mbegu yake. AT: "wana wa Ibrahimu" # ilikuwa ni muhimu kwake "ilikuwa ni muhimu kwa Yesu" # kama ndugu zake Neno "ndugu" hapa linamaanisha watu kwa ujumla. AT: "kama wanadamu" # ili alete msamaha wa dhambi kwa watu Kifo cha Yesu msalabani kinamaanisha kwamba Mungu anaweza kusamehe dhambi. AT: "ili kwamba afanye uwezekano wa Mungu kusamehe dhambi za watu." # alijaribiwa Hii inaweza kusema katika mfumo tendaji. AT: " Shetani akamjaribu" # wanaojaribiwa Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "ambao shetani anawajaribu"