sw_tn/gal/06/03.md

24 lines
607 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# ikiwa
"Kwa sababu." Hii neno inaonyesha kwamba maneno anayosema baadaye yatoa sababu za kwa nini Wagalatia lazima 1) "kuchukuliana mizigo" 6:1 au 2)kuwa waangalifu ili na wao wenyewe wasije wakajaribiwa (6:1) au " wasije wakajivuna (5:1)
# yeye ni kitu
yeye ni mtu muhimu 'au' yeye ni bora kuliko ya wengine
# Yeye si kitu
Yeye si muhimu 'au' hana bora kuliko ya wengine
# Kila mmoja anapaswa
"Kila mtu lazima"
# kila mmoja ataubeba mzigo wake mwenyewe
Kila mtu atahukumiwa kwa kazi yake mwenyewe tu' au 'kila mtu atawajibika kwa kazi yake mwenyewe tu"
# kila mmoja ata..
"Kila mtu ata..."