# ikiwa "Kwa sababu." Hii neno inaonyesha kwamba maneno anayosema baadaye yatoa sababu za kwa nini Wagalatia lazima 1) "kuchukuliana mizigo" 6:1 au 2)kuwa waangalifu ili na wao wenyewe wasije wakajaribiwa (6:1) au " wasije wakajivuna (5:1) # yeye ni kitu yeye ni mtu muhimu 'au' yeye ni bora kuliko ya wengine # Yeye si kitu Yeye si muhimu 'au' hana bora kuliko ya wengine # Kila mmoja anapaswa "Kila mtu lazima" # kila mmoja ataubeba mzigo wake mwenyewe Kila mtu atahukumiwa kwa kazi yake mwenyewe tu' au 'kila mtu atawajibika kwa kazi yake mwenyewe tu" # kila mmoja ata.. "Kila mtu ata..."