sw_tn/gal/02/15.md

20 lines
520 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi:
Paulo anawaambia waumini kwamba Wayahudi wanaojua sheria na Wamataifa ambao hawaijui sheria, wameokolewa kwa imani peke yake ndani ya Kristo na siyo kwa kutunza sheria.
# si watu wa mataifa wenye dhambi
"siyo wale watu wa mataifa ambao wayahudi huwaita wenye dhambi"
# Tulikuja katika imani ndani ya Kristo Yesu
"Tuliamini katika Kristo Yesu"
# sisi
Huenda pengine hii inamrejelea Paulo na wengine, na si Wagalatia.
# hakuna mwili
Neno mwili limetumika kuwakilisha mtu yaani "hakuna mtu"