sw_tn/eph/06/09.md

12 lines
335 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# fanyeni vivyo hivyo kwa watumwa wenu, na msiwatishie
Msiwatishie watumwa wenu, lakini muwafundishe kama Kristo angeweza kuwafundisha"
# mkijua kwamba yeye aliye Bwana wa wote ni yule aliye mbinguni
"kwa sababu mnajua kuwa Krisato ni Bwana wa wote watumwa na Mabwana zao"
# Mkijua kuwa hakuna upendeleo kwake
"Na hana upendeleo"