# fanyeni vivyo hivyo kwa watumwa wenu, na msiwatishie Msiwatishie watumwa wenu, lakini muwafundishe kama Kristo angeweza kuwafundisha" # mkijua kwamba yeye aliye Bwana wa wote ni yule aliye mbinguni "kwa sababu mnajua kuwa Krisato ni Bwana wa wote watumwa na Mabwana zao" # Mkijua kuwa hakuna upendeleo kwake "Na hana upendeleo"